Kiswahili Language Version of "Top 10 Myths About Civil Society Participation at ICANN"

Konstantinos Komaitis k.komaitis at STRATH.AC.UK
Wed Sep 16 10:16:22 CEST 2009


This is absolutely brilliant and bravo to Alex and Muting¹u.

KK


On 15/09/2009 22:13, "Robin Gross" <robin at IPJUSTICE.ORG> wrote:

> Thank you, Alex and Muting'u!   This is certainly a first for NCUC and I hope
> it will help us to reach many more people in East Africa.   Thanks for your
> work to make that happen!
> 
> Best,
> Robin
> 
> 
> On Sep 15, 2009, at 12:05 PM, Alex Gakuru wrote:
> 
>> Hi Robin, all,
>> 
>> Grace Muting'u has kindly translated the document into Kiswahili
>> (spoken by at least 120 million people in East African Community
>> member countries alone).
>> 
>> Asante (Thanks) Grace.
>> 
>> Regards,
>> 
>> Alex
>> 
>> ---begins----
>> ³Porojo Kumi maarufu zaidi  kuhusu uhusikaji wa mashirika ya shirika
>> la ICANN², na NCUC
>> 
>> 21 Agosti 2009
>> _____________________________________________________________________________
>> Porojo ya Kwanza
>> 
>> ³Masirika ya kijamii hayatahusika kwenya ICANN chini ya mpango
>> uliopendekezwa na NCUC.²
>> 
>> Uwongo: Wafanyakazi wa ICANN na wengine wanadai kwamba
>> mashirika  ya  kijamii hukatwa tamaa yasijihusishe na ICANN
>> kwa vile mpango uliopendekezwa na ICANN hauhakikishi kwamba
>> viti katika Kamati ya GNSO vitagawiwa maeneo au washikadau wote.
>> 
>> Ukweli wa mambo ni kwamba uanachama wa NCUC unawakilisha
>> mashirika 143 yasiyo ya kibiashara pamoja na watu binafsi. Tangu
>> mwaka 2008 uanachama wa NCUC umeongezeka kwa zaidi ya 215%
>> - hii ni kwa mujibu wa mwito wa mashirika ya kijamii. Hakuna shirika
>> hata moja lisilo la kibiashara lililotoa maoni kwamba kuwepo tu kwa
>> viti vya maeneo katika Kamati ya GNSO ndipo kungewafanya kushiriki
>> kwenye ICANN. Katika mashirika yaliyotoa maoni yao, hakuna
>> lilisosema ya kwamba lingeshiriki kwenye ICANN sharti katiba ya
>> NSCG ingewahakikishia kiti kwenye Kamati ya GNSO.
>> 
>> Porojo ya Pili
>> 
>> ³Wengi zaidi kutoka mashirika ya kijamii watashiriki kwenye ICANN
>> Bodi itakapoingilia²
>> 
>> Picha ya kweli: Kulazimisha kwa Bodi kwa katiba yake au kutosikiliza
>> kwa Bodi kwa vikundi vya mashirika ya kijamii kutaonekana kama
>> kukataliwa kwa maoni ya vile vikundi vingi vilivyoonelea kwamba ni hii
>> ni dhuluma dhidi ya mashirika ya kijamii. Sifa ya ICANN kati ya
>> mashirika yasiyo ya kibiashara itaharibika kabisa hatua mwafaka
>> isipochukuliwa au suluhu kupatikana. Hata kama vitendo hivyo
>> vingekubalika, matokeo  kamili kwa wafanya kazi na kwa katiba
>> ya NCSG itakuwa kuvinyima nguvu vikundi visivyo vya kibiashara
>> na kuvifanya hata visipende kushiriki. Kuteuliwa kwa waakilishi na
>> Bodi hufurutisha  vikundi visivyo vya kibiashara na watu binafsi.
>> Isitoshe, SIC inayowakilisha maeneo au washika dau wote inahitaji
>> fedha nyingi sana ambayo mashirika mengi yasiyo ya kibiashara
>> hayawezi kusimamilia. Pia, mpangilio huo utaleta mgawanyiko kati
>> ya vikundi huku vikipigania wanachama na kura. Vikundi vingi visivyo
>> vya kibiashara havitaweza kuingia ICANN GNSO chini ya mpango huo.
>> 
>> Porojo ya Tatu
>> 
>> Kuwepo kwa upinzani kunaweza kupuuzwa tu kama ³kampeni ya
>> uandikaji barua²
>> 
>> Hii ni shutma isiyo ya kweli: Upinzani mkali wa mashirika ya kijamii
>> kwa katiba ya SIC ulitokea si mara moja bali mara mbili. Pia, kulikuwa
>> na ongezeko kubwa la wanachama wa NCUC lililotokana na kutopendezwa
>> kwa jamii yote kwa jumla na vitendo vya wafanyakazi pamoja na Bodi.
>> Kujaribu kupunguza ushiriki wa mashirika ya kijamii hakutafanikiwa na
>> kunaonyesha upotovu huu wa hali ya juu. ICANN inahitajika kuwa

-- 
Dr. Konstantinos Komaitis,
Lecturer in Law,
GigaNet Membership Chair,
University of Strathclyde,
The Lord Hope Building,
141 St. James Road,
Glasgow, G4 0LT,
UK
tel: +44 (0)141 548 4306
email: k.komaitis at strath.ac.uk 

-------------- next part --------------
An HTML attachment was scrubbed...
URL: <http://lists.ncuc.org/pipermail/ncuc-discuss/attachments/20090916/10df5b6f/attachment.html>


More information about the Ncuc-discuss mailing list