<HTML>
<HEAD>
<TITLE>Re: Kiswahili Language Version of "Top 10 Myths About Civil Society Participation at ICANN"</TITLE>
</HEAD>
<BODY>
<FONT FACE="Calibri, Verdana, Helvetica, Arial"><SPAN STYLE='font-size:11pt'>This is absolutely brilliant and bravo to Alex and Muting’u.<BR>
<BR>
KK<BR>
<BR>
<BR>
On 15/09/2009 22:13, "Robin Gross" <<a href="robin@IPJUSTICE.ORG">robin@IPJUSTICE.ORG</a>> wrote:<BR>
<BR>
</SPAN></FONT><BLOCKQUOTE><FONT FACE="Calibri, Verdana, Helvetica, Arial"><SPAN STYLE='font-size:11pt'>Thank you, Alex and Muting'u! This is certainly a first for NCUC and I hope it will help us to reach many more people in East Africa. Thanks for your work to make that happen!<BR>
<BR>
Best,<BR>
Robin<BR>
<BR>
<BR>
On Sep 15, 2009, at 12:05 PM, Alex Gakuru wrote:<BR>
<BR>
</SPAN></FONT><BLOCKQUOTE><FONT FACE="Calibri, Verdana, Helvetica, Arial"><SPAN STYLE='font-size:11pt'>Hi Robin, all,<BR>
<BR>
Grace Muting'u has kindly translated the document into Kiswahili<BR>
(spoken by at least 120 million people in East African Community<BR>
member countries alone).<BR>
<BR>
Asante (Thanks) Grace.<BR>
<BR>
Regards,<BR>
<BR>
Alex<BR>
<BR>
---begins----<BR>
“Porojo Kumi maarufu zaidi kuhusu uhusikaji wa mashirika ya shirika<BR>
la ICANN”, na NCUC<BR>
<BR>
21 Agosti 2009<BR>
_____________________________________________________________________________<BR>
Porojo ya Kwanza<BR>
<BR>
“Masirika ya kijamii hayatahusika kwenya ICANN chini ya mpango<BR>
uliopendekezwa na NCUC.”<BR>
<BR>
Uwongo: Wafanyakazi wa ICANN na wengine wanadai kwamba<BR>
mashirika ya kijamii hukatwa tamaa yasijihusishe na ICANN<BR>
kwa vile mpango uliopendekezwa na ICANN hauhakikishi kwamba<BR>
viti katika Kamati ya GNSO vitagawiwa maeneo au washikadau wote.<BR>
<BR>
Ukweli wa mambo ni kwamba uanachama wa NCUC unawakilisha<BR>
mashirika 143 yasiyo ya kibiashara pamoja na watu binafsi. Tangu<BR>
mwaka 2008 uanachama wa NCUC umeongezeka kwa zaidi ya 215%<BR>
- hii ni kwa mujibu wa mwito wa mashirika ya kijamii. Hakuna shirika<BR>
hata moja lisilo la kibiashara lililotoa maoni kwamba kuwepo tu kwa<BR>
viti vya maeneo katika Kamati ya GNSO ndipo kungewafanya kushiriki<BR>
kwenye ICANN. Katika mashirika yaliyotoa maoni yao, hakuna<BR>
lilisosema ya kwamba lingeshiriki kwenye ICANN sharti katiba ya<BR>
NSCG ingewahakikishia kiti kwenye Kamati ya GNSO.<BR>
<BR>
Porojo ya Pili<BR>
<BR>
“Wengi zaidi kutoka mashirika ya kijamii watashiriki kwenye ICANN<BR>
Bodi itakapoingilia”<BR>
<BR>
Picha ya kweli: Kulazimisha kwa Bodi kwa katiba yake au kutosikiliza<BR>
kwa Bodi kwa vikundi vya mashirika ya kijamii kutaonekana kama<BR>
kukataliwa kwa maoni ya vile vikundi vingi vilivyoonelea kwamba ni hii<BR>
ni dhuluma dhidi ya mashirika ya kijamii. Sifa ya ICANN kati ya<BR>
mashirika yasiyo ya kibiashara itaharibika kabisa hatua mwafaka<BR>
isipochukuliwa au suluhu kupatikana. Hata kama vitendo hivyo<BR>
vingekubalika, matokeo kamili kwa wafanya kazi na kwa katiba<BR>
ya NCSG itakuwa kuvinyima nguvu vikundi visivyo vya kibiashara<BR>
na kuvifanya hata visipende kushiriki. Kuteuliwa kwa waakilishi na<BR>
Bodi hufurutisha vikundi visivyo vya kibiashara na watu binafsi.<BR>
Isitoshe, SIC inayowakilisha maeneo au washika dau wote inahitaji<BR>
fedha nyingi sana ambayo mashirika mengi yasiyo ya kibiashara<BR>
hayawezi kusimamilia. Pia, mpangilio huo utaleta mgawanyiko kati<BR>
ya vikundi huku vikipigania wanachama na kura. Vikundi vingi visivyo<BR>
vya kibiashara havitaweza kuingia ICANN GNSO chini ya mpango huo.<BR>
<BR>
Porojo ya Tatu<BR>
<BR>
Kuwepo kwa upinzani kunaweza kupuuzwa tu kama “kampeni ya<BR>
uandikaji barua”<BR>
<BR>
Hii ni shutma isiyo ya kweli: Upinzani mkali wa mashirika ya kijamii<BR>
kwa katiba ya SIC ulitokea si mara moja bali mara mbili. Pia, kulikuwa<BR>
na ongezeko kubwa la wanachama wa NCUC lililotokana na kutopendezwa<BR>
kwa jamii yote kwa jumla na vitendo vya wafanyakazi pamoja na Bodi.<BR>
Kujaribu kupunguza ushiriki wa mashirika ya kijamii hakutafanikiwa na<BR>
kunaonyesha upotovu huu wa hali ya juu. ICANN inahitajika kuwa<BR>
</SPAN></FONT></BLOCKQUOTE></BLOCKQUOTE><FONT FACE="Calibri, Verdana, Helvetica, Arial"><SPAN STYLE='font-size:11pt'><BR>
-- <BR>
Dr. Konstantinos Komaitis,<BR>
Lecturer in Law,<BR>
GigaNet Membership Chair,<BR>
University of Strathclyde,<BR>
The Lord Hope Building,<BR>
141 St. James Road,<BR>
Glasgow, G4 0LT,<BR>
UK<BR>
tel: +44 (0)141 548 4306<BR>
email: <a href="k.komaitis@strath.ac.uk">k.komaitis@strath.ac.uk</a> <BR>
</SPAN></FONT>
</BODY>
</HTML>